Search
Now showing items 1-1 of 1
Lugha na utambulisho: tofauti katika matumizi ya kiswahili nchini tanzania na Kenya
(Chama cha Kiswahili Africa Mashariki (CHAKAMA), 2015)
Matumizi ya lugha moja hutofautiana kwa kutegemea mambo kama vile umri, jinsia, tabaka na
maeneo ya kijiografia miongoni mwa mengine. Matokeo ya hali ni kuwa matumizi ya lugha
huishia kutoa mchango mkubwa katika utambulisho ...